Mbunge wa Mvita Abdulswamad Sharifff Nassir avamiwa na Majambazi

Mbunge wa Mvita Abdulswamad Sharifff Nassir avamiwa na Majambazi

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,253
Mbunge wa Mvita Abdulswamad Sharifff Nassir avamiwa na Majambazi



Added on March 30th, 2014

Mbunge wa Mvita Abdulswamad Sharifff Nassir amevamiwa na majambazi usiku wa kuamkia leo akiwa katika afisi zake za kibinafsi huko Nyali.

Abdswamad aliyekuwa akitoka afisini mwake alisema kuwa alivamiwa na watu watatu waliokuwa wamejihami na kumpora simu zake na shillingi elfu arobaini pesa taslimu. Hata hivyo Abdulswamad hakutaka kulinasibisha tukio hilo na siasa na badala yake alisema tukio hilo ni la wizi kama tukio lolote lile. Zaidi ya hayo, alitaka usalama uimarishwe katika kaunti ya Mombasa.

Standard Digital News : : KTN - KTN Video | Mbunge wa Mvita Abdulswamad Sharifff Nassir avamiwa na Majambazi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom