Mbunge wa ODM Kenya atoboa siri ODM walimtaafutia vyeti feki vya shule

Mbunge wa ODM Kenya atoboa siri ODM walimtaafutia vyeti feki vya shule

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Mama mmoja mbunge wa ODM ameomba aachwe na asifatwe fwate na uongozi maana anajua hats yeye ana Chetifeki cha while walichomtafutia ODM.

Akasema wako wabunge wengi was ODM wana vyeti feki na wakimchanganyaa atalipua Bomu.

Hivi walewa kwetu wenye vyeti feki imeishia wapi?

Vile wakeiii mupo?
 
Ila huyu Millie Odhiambo anahitaji kushtakiwa, she has openly admitted that she`s now in parliament courtesy of a fake certificate. Hii inataka kufanana na case ya Mr. Kihiyo mbunge wa zamani wa jimbo la temeke -Dar es salaam ambaye court ilitengua ubunge wake kutokana na taaluma za kujipachika.

Anyway,,,madam Millie has always been controversial. That`s her ID.
 
Back
Top Bottom