Ila huyu Millie Odhiambo anahitaji kushtakiwa, she has openly admitted that she`s now in parliament courtesy of a fake certificate. Hii inataka kufanana na case ya Mr. Kihiyo mbunge wa zamani wa jimbo la temeke -Dar es salaam ambaye court ilitengua ubunge wake kutokana na taaluma za kujipachika.
Anyway,,,madam Millie has always been controversial. That`s her ID.