Mbunge wa Pwani analalamika

Mbunge wa Pwani analalamika

Tardy

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
1,287
Reaction score
1,607
Mbunge;
Kiwanda cha madawa ya mbu kimebaki MAHAME nini mpango wa serikali huku mkiagiza madawa ya mbu nje.

NW Viwanda mbunge muongo kiwanda kinafanya kazi.

Spika naagiza kamati ifike kiwandani kama ni mahame au kinafanya kazi.
Swali langu kama mbunge wa eneo husika haaminiki kamati ya siasa hawawezi kuthibitisha hilo kuliko matumizi mabaya ya kwenda kamati ya bunge?
 
Hii ni siasa wampigie manager Simu atoe data za uzalishaji na changamoto
Wapinzani hawamo bungeni,wanajalibu kutengeneza kiki ili wananchi wa wafatilie vikao
 
Mbunge;
Kiwanda cha madawa ya mbu kimebaki MAHAME nini mpango wa serikali huku mkiagiza madawa ya mbu nje.

NW Viwanda mbunge muongo kiwanda kinafanya kazi.

Spika naagiza kamati ifike kiwandani kama ni mahame au kinafanya kazi.
Swali langu kama mbunge wa eneo husika haaminiki kamati ya siasa hawawezi kuthibitisha hilo kuliko matumizi mabaya ya kwenda kamati ya bunge?
Tulisha kubaliana kuwa hayo mazuzu yasitumbue kabisaa hatuna wabunge tulio wachagua sisi yakawa mazuzu.
 
Nchi ya kipumbavu sana, yani tumekosa kabisa mifumo ya kujua kama kiwanda kinafanya kinafanya kazi au akifanyi mpaka kamati iende kweli, uhu ni ulaji tu unatengenezwa.
 
Back
Top Bottom