Wapinzani hawamo bungeni,wanajalibu kutengeneza kiki ili wananchi wa wafatilie vikaoHii ni siasa wampigie manager Simu atoe data za uzalishaji na changamoto
Tulisha kubaliana kuwa hayo mazuzu yasitumbue kabisaa hatuna wabunge tulio wachagua sisi yakawa mazuzu.Mbunge;
Kiwanda cha madawa ya mbu kimebaki MAHAME nini mpango wa serikali huku mkiagiza madawa ya mbu nje.
NW Viwanda mbunge muongo kiwanda kinafanya kazi.
Spika naagiza kamati ifike kiwandani kama ni mahame au kinafanya kazi.
Swali langu kama mbunge wa eneo husika haaminiki kamati ya siasa hawawezi kuthibitisha hilo kuliko matumizi mabaya ya kwenda kamati ya bunge?