digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,508
- 23,368
Huko nyuma kuna mahali niliandika kuwa mpaka 2020 wakati wa uchaguzi Chadema haita kuwa na nguvu tena
Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo itakuwa fungu la Mnadhimu Mkuu lote anakula Kiongozi wa Upinzani Bungeni
Iyo hajapewa barua rasmi ni zuga tu
Nitahakikisha 2020 hakun upinzani tena magu 2016.Nguvu ya cdm ilikuwa inaletwa na Selasini kuwa mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni?
Mzee Mgaya alikuwa Rombo kwa mapumziko ya mwaka mpya nadhani unakumbuka bwashee!Nguvu ya cdm ilikuwa inaletwa na Selasini kuwa mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni?
Wakati anamteua huyo mbowe hakujua hili? Acheni kujitekenya ,kiufupi huko chadema kuna fukuta sana,time will tell
Sent using Jamii Forums mobile app