Afadhali uwahi maana huyo Airo ameshinda Ubunge kwa mapesa yake tu sidhani kama anao uwezo. Infact sina imani kama kweli amegombea U bunge kwa maslahai ya Wana Rorya.
Mkuu unataka tupambane? Ngoja nianze kukusanya laptop kwa wapiga kura
Probably right, jamaa pia hawezi kujieleza. Kuna kamanda mmoja wa huko alinichekesha, anadai kuwa nusu ya hotuba zake za kampeni zimejaa maneno CCM oyee.
"Nitaleta visima, CCM oyee", "Nitawasaidia kutatua matatizo, CCM oyee", "Wapinzani hawana hoja, CCM oyee", "Mnipigie mimi kura, CCM oyee" halafu tutasaidiana, CCM oyee" ...... and stuff like that - cheap!!
Nilikwisha tangaza wiki 2 zilizopita kuwa nitagombea Ubunge wa Jimbo la Kyela mwaka 2015 kupitia CHADEMA,mikakati imeanza sasa ya "take back our Kyela";mapema tu mwakani nitawaita waandishi wa habari wana JF kijijini kwangu Talatala kuzindua "manifesto"yangu!
Tukianza MICHAKATO mapema kwa kila jimbo CCM itang'oka!