Mbunge wa Ruangwa Lindi afariki dunia

Poleni sana wafiwa.jana TBC walionyesha wazazi wake,kaka,dada na mahali alipozaliwa kweli inatia huruma kwani ni choka mbaya ile mbaya.
sijui itakuwaje badala ya yeye kutangulia mbele ya haki.nahisi kama kuna giza nene mbele.
Any way R.I.P salaam kwa Mpiganaji Wangwe Chacha na Chifupa Amina (r.i.p)
 

Maisha bora kwa kila mTZ. Si ndio wimbo wa chama twawala?
 
Ndio sababu mke wake akawa anang'ang'ana marehemu azikwe Dar? Tukumbuke nyumbani jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…