Uchaguzi 2020 Mbunge wa Same Magharibi, Dkt. Mathayo David ahojiwa na TAKUKURU

alisubiri uchaguzi ?
 
Yaani alishindwa kuwaletea Wana Same magari hayo kwa kipindi chote alichokuwa Mbunge, Leo ndo anawakumbuka? Hii kweli Rushwa. Nashaur magar hayo yagawiwe kwa wananchi Kisha Chama wamkate, ili iwe funzo kwa wote wenye tabia hizo.
Ni kweli alikuwa hajapata kiinua mgongp,sasa ale peke yake?
 
Baba yao alianza muda mrefu sana kumwaga mamilioni kila anakokatiza kwa kisingizio eti anachangia shughuli za maendeleo, mwisho wa siku watu wanamuona hamnazo
 
alisubiri uchaguzi ?
Muda gani baada ya kutoka hapa watatukumbuka? Ndugu yangu mtu anakunyemelea siku zote siku akiingia kwenye 18 zako unamwacha? Huwa wanatukimbia hawa wakipata Ubunge. Nimeishi kwenu jimbo la kawe sikumuona hata siku moja Halima Mdee akifanya ziara. Waleteeeeeee.
 
Watu wana hesabu Kali yaani una toa ahadi miaka mitano nyuma alafu utekelezaji ni wakati wa kutia nia nadhani hili nalo nakuangaliwa,
 
Watu wana hesabu Kali yaani una toa ahadi miaka mitano nyuma alafu utekelezaji ni wakati wa kutia nia nadhani hili nalo lakuangaliwa,
 
alisubiri uchaguzi ?
Tatizo lako wewe unawaamini sana Wanasiasa, Hawa watu wakikwamkia NJE KUNA JUA, unatakiwa utoke njee uhakikishe kweli jua lipo? usishangae kawasha karabai na mwanga umetoka na unakuambia ni jua. Hawaaminiki hawa kama suala la mvua Same.
 
Simuoni akirudi labda baada uchaguzi apewe DC au DED kulinda heshima ya baba
 
Siku za nyumba kuna mtu aliniambia kwamba kuna wananchi walikwenda kwa mbunge wao hawtatulie kero zao, mbunge akawajibu yeye amepata ubunge kwa pesa zake. Haya ndiyo tunayaona yakiendelea CCM kwa sasa. Mtu kama huyo hawezi kuwatatulia kero watu wake. Lakini hata hivyo, Mkuu amesema itatokana kaamkaje siku hiyo. Hata wakitoa rushwa inawezekana kwa mkuu wasipite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…