Elections 2010 Mbunge wa Sumbawanga mjini akiwa chini ya ulinzi baada ya kuvamia ofisi za CHADEMA Igunga


Chonde chonde baba muulizeni kwanza ni wadini gani maana....!

Huyo ni muislamu mfu anayekula kitimoto kwa kwenda mbele, nilichangia jana kwa kina kuwa namfahamu tangu primary, alifukuzwa shule kaniacha, kesi ya kupinga matokeo yake iliunguruma jana hapa Sumbawanga, chakusikitisha baba yake mzazi yuko hoi na Kisukari kinammaliza, yeye anafanya ujinga ujinga tu huko! Pumbafu zake.Walitakiwa wamhasi, jeuri itaisha ili amkose hata huyo Easta Bulaya!
 
Kwa nn Dr. Slaa amekubali kuongea na hao vicheche? Hawana lolote hao, njaa tu!
 
Maigizo kwa kwenda mbele,stupid name of politics
 
Wanamaker jf sikweli hili jambo Dk Slaa aje atueleze ukweli hajavamia tusipoteshe

Alifuata nini kwenye ofisi za Chadema wakati hakualikwa,
na anajua fika kuhusu mtafaruku wake na wanachadema?
 

Huyo ilitakiwa agombaniwe na kuchezea kichapo arudi Swanga akakandwe na mkewe
 

mdau safar zina posho hizo,,,,,si wanalipwa na chama?????nani atakaekwenda bila posho????
 

mkuu hapo sijaelewa kitu,

hata mimi naunga mkono hoja wamshike kalio.
 
Alifuata nini ofisi za makamanda? tena bila ya kualikwa! uyo aliyemkunja ni nani?
 

Mi hilo kombati la CCM limeniacha hoi. Hawa jamaa wamefiliska hadi kiakili sio fikra pekee. Waliyaponda Makombati ya Chadema sasa wametengeza ya kwao. Waliziponda helkopta za Chadema sasa wao wamekuja na mbili. Waliziponda stori za Ufisadi sasa wanavuana magamba.

Hawa jamaa hawana jipya kwani ni kukopi na kupesti kutoka Chadema. Muda umefika waondoke ili Chadema wachape (Wa-type) wenyewe badala ya kutype halafu CCM wanasubiri kukopi na kupest
 
Bora huyu Jamaa Wa Chadema angemn'oa hiyo reception,ccm kitu gani kazi kupandikiza mbegu mbaya ya udini tu huku utaifa wetu ukiangamia.
 
hii imetokea lini na polisi wamefanya nini?
wasi wasi wangu asije sema alitekwa na kupelekwa huko sio yeye aliye vamia

Hapa tunguli zimekwama kufanya kazi. Halafu tunaokumbuka sawasawa huyu jamaa aliponea tundu la sindano kugaragazwa na mgombea wa CDM wakati wa uchaguzi mkuu mpaka akaita msaada wakachakachua akapita. Hapa anataka kulipa waliomweka madarakani fadhila ila inaweza kula kwake
 

Sijaona mantiki ya viongozi wa chadema kupoteza muda wao kuzungumza na hao wanamagamba.

Kwani bashe na beno wamekuwa igp mwema na dci manumba hadi wakaongelee hali ya usalama wa igunga?

Juzi tumesikia yule kamanda ambaye hajawahi kusifiwa na mtu yeyote zaidi ya bosi wake pamoja na kutumikia jeshi la polisi kwa miaka 40 kwamba wamejipanga vizuri kuimarisha ulinzi wilayani igunga, sasa kwanini asiende yeye kuongea na viongozi wa chadema kama kweli hali ya usalama igunga ni ya hatari?

Hawa magamba lazima watakuwa wanatafuta namna ya kutengeneza tukio la dakika za lala salama, si bure hawa watu.
 
Alienda kuloga huyo wamezoea wasumbawanga..... na wangembaka angepata akili...Idiot
 
Inaonekana huyo mh Aeishi ana kiherehere sana,mtu hajaalikwa anakwenda kufanya nini?
 
muulizeni kafuata nini chadema? wakati juzi alitaka kuua watu wetu na kuchoma magari ya chama?

Jamani mjumbe hauwawi! you keep shooting the messenger? they will never stop coming!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…