Kwa walivosogeleana ngumi yaweza isilete matokeo mazuri labda kwa staili ya "one inch punch" ya bruce leeHiyo Kijani ilivyokunjwa, ningekuwa mm hiyo ngumi ningeipeleka kwenye pua. paaaaah
Kumbe mbunge wa sumbawanga mjini ni dume?
me nlisikia jina "Aeshi ,sijui aisha" nkahisi mdada.
Huyo ilitakiwa agombaniwe na kuchezea kichapo arudi Swanga akakandwe na mkewe
Tukio lenyewe liko hivi - Ni kwamba Bashe aliomba kuja kuongea na Viongozi wa CDM kuhusu hali ya hatari iliyopo hapa Igunga. Akaja na Beno Malisa. Wakati mazungumzo yanaendelea ndipo ghafla akaingia mbunge Aeishi bila kualikwa. Vijana walipomwona adui namba moja aliyewarushia risasi majuzi tu wakaamua kumweka chini ya ulinzi. Kama sio Dr Slaa kuwa karibu sijui wangemwokotea wapi leo.
Hawa CCM wanaweka mitego kama nilivyosema kwenye thread nyingine, jamani kina Nanyaro,Mtema, Lema hebu watulizeni vijana wasiwe na jaziba!!! Hizo ni hila za CCM maghaba type wanatafuta sababu ya kesi na kupunguza nguvu za kampeini ya CDM, chunga sana!!!!!!!!Hii imetokea lini,wana JF mm sikuwa nafahamu juu ya hili,lakini hapa kuna jambo linatafutwa ni mtego wa kutafuta sababu ya ku-formulate kesi lakini pia huenda alipata hofu kwamba Bashe atatoa siri,kwa vile yeye ni mpabe wa karibu wa RA na ukizingatia alijivua gamba paispo kutaka.
Endeleeni kutuhabarisha kinachoendelea
hiyo hali tata ya igunga imeletwa na nani? na mbona hatujasikia waki wakemea wale masheikh ubwabwa au ndio sera ya sisiemu (CCM), halafu wakisha wamaliza CDM na hiyo sumu ya masheikh ubwabwa ndipo watakula wenyewe kwa wenyewe ndani ya SISiemu, maana ukisha onja utamu wa utengano basi huta acha kutaka kula hiyo nyama? sasa ipo siku tutasikia why wilson na sio.....au why pusi na sio paka, wengine ndio hao wanafuga kitimoto na scarf ya kufunika kichwaTukio lenyewe liko hivi - Ni kwamba Bashe aliomba kuja kuongea na Viongozi wa CDM kuhusu hali ya hatari iliyopo hapa Igunga. Akaja na Beno Malisa. Wakati mazungumzo yanaendelea ndipo ghafla akaingia mbunge Aeishi bila kualikwa. Vijana walipomwona adui namba moja aliyewarushia risasi majuzi tu wakaamua kumweka chini ya ulinzi. Kama sio Dr Slaa kuwa karibu sijui wangemwokotea wapi leo.
Umakini unahitajika namna ya kupambana na hawa Magamba maana wana mbinu chafu sana na tayari maangalizo yametolewa namna ya kukabiliana nao kwa kuwaepuka zaidi
Huyu jamaa Wa ccm kamanda Kweli kaingia kambi ya Chadema na katokaView attachment 37994View attachment 37994 muulizeni kafuata nini chadema? wakati juzi alitaka kuua watu wetu na kuchoma magari ya chama?