Mbunge wa Tarime Mjini, Easter Matiko aonesha nyumba yake jijini Dar es Salaam

Salum Mwalim ana hatari, anazaa na mke wa mtu, kwa hiyo Salum anasubiri babu afe arithi mali .......Ndio maana mshkaji hataki kuoa anamsikilizia mke wa mtu
 
Salum Mwalimu kaingia Chadema lini? as 2008 was still at Vodacom Tanzania
 
Hivi Tanzania kuna mwanamama aliyefanikiwa ambae hana 'scandal' ambae atakuwa mfano kwa wasichana kweli??

Ila hili la kuonyesha nyumba kwa mbunge sio kosa lakini litamletea hasara kuliko faida, haya mambo ya show off waachiwe wasanii waliopo kwenye showbiz....sasa watu wanaanza kumchambua na kumuonea husda. Waislam wanaambiwa kutoonyesha neema zao kupunguza husda...Mtume Muhammad (SAW) alisema "Resort to secrecy for the fulfillment and success of your needs for, verily, every one who has a blessing is envied.
 
its up to you
 
Huyu dem asingekuja kwenye public limelight namna hii.....kweli mm binafsi baada ya kuona ili andiko heshma yangu kwake imepungua.....infact hata wapiga kura hawapendi....unapoanza kujipambanua kwa mali.....

Hakajatulia hako kabinti. Show offs za nini?
 
Huyu dem asingekuja kwenye public limelight namna hii.....kweli mm binafsi baada ya kuona ili andiko heshma yangu kwake imepungua.....infact hata wapiga kura hawapendi....unapoanza kujipambanua kwa mali.....
kwamba unamuheshimu , au unapenda wabunge au ndugu mafukara? Kwamba umasikini kwako ni fahari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…