PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 969
- 1,055
Leo Tarehe 13/01/2021, Mhe. Dorothy George Kilave, Mbunge wa Jimbo la Temeke, amekutana na Makatibu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) kutoka katika Kata zote za jimbo la Temeke.
Kikao hiki ni kikao cha Maandalizi ya Program Maalumu ya Uwezeshaji wa Elimu ya Biashara na mikopo Kwa kina mama wajasiriamali wa Jimbo la Temeke.
Kikao hiki kimefanyika Leo Majira ya Saa 8 Mchana Katika Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Temeke.
"Ndugu Wananchi, Maendeleo ni Jitihada za Pamoja Twende wote tuijenge Temeke yetu" Mhe Dorothy Kilave, Mb-Temeke.