Tumia common sense. Huyo mbuge ni alichaguliwa na wananchi au aliteuliwa na mtu mmoja? Kama aliteuliwa na mtu mmoja aje kwenu kufanya nini wakati hakuchaguliwa na ninyi. Yuko busy na aliyemfikisha hapo alipo tulieni hadi 2025 labda mtapewa nafasi ya kuchagua.