jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Tusubiri kidogo wa Ilala nae aache V8 aendeshe boxaAgain, bodaboda mnaanza kutumika na wanasiasa na nyie mnakubali.... Ndio yaleyale ya jamaa mmoja kujifanya rafiki zenu, kupanda daladala siku moja ilihali watu wanapanda kila siku, kula kwa mama ntilie akizitafuta kura za wananchi leo hii hatumuoni tena akipanda daladala wala kula chakula cha mama ntilie..
Mama samia anakazi kubwa sana kwakweli kwasasa ndio naelewa kwa nini magufuli aliendeaha hii nchi kwa mkono wa chuma kumbe kuna mambo ukiyachekea yanaliingiza taifa kwenye tatizo.Hiyu dogo nae kwa kutafuta makubwa hajambo!
Jerry ulikuwa na nafasi nzuri sana wakati wa JK sijui ulikosea nini ukatolewa kwenye reli, kwa umri wako tulia. Tulia kabisa utakuja kutoka baadae ila usitafute Kiki kwa mihemko. Tulia wewe bado mdogo, kuwa humble kama unaipenda siasa. Ukilazimisha makiki sasa hivi mdogo wangu utaisahau siasa mazima.
Angalia hao kina JK walianziaga siasa zao Nachingwea huko tena kwa nafasi za kawaida sana ni utii tu na kunyenyekea ndio uliwafikisha waliopofika. Kama unahitaji siasa hizo ulizomo hapo tulia ila kama unahitaji kupingana na hilo dubwana ulilo ndani yake na uje utoke kivyako vyako basi soma nyakati vizuri na ukiona ni sawa endelea na huo uanaharakati wako.
We jamaa umakwama maisha nini maana hili ni povu la cleesoft.πππππWewe na wapumbavu wenzio Magufuli anahusika nini? Kila siku magufuli hata ukishinda kumlizisha mkeo Magufuli! Nchii hii sio ya CCM wala Magufuli pambaneni na hali zenu ni wakati wenu nyinyi Mafisadi!