Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wakuu,
Mbunge wa Ukraine amemtaka Volodymyr Zelensky kuomba radhi kwa mienendo yake wakati wa ziara yake katika Ikulu ya White House wiki iliyopita – ambapo yeye, Donald Trump na JD Vance walibishana mbele ya kamera.
ma wa chama cha upinzani cha European Solidarity nchini Ukraine, aliambia BBC Cymru kwamba Zelensky "alipaswa kuonyesha utulivu zaidi" wakati wa mkutano huo, "kwa sababu hii si chekechea, si ulingo wa ngumi. Ni suala linalohusu maisha ya mamilioni ya watu."
"Anaweza kujiuliza, nini ni muhimu zaidi – kiburi cha Rais Zelensky au maisha ya mamilioni ya watu ambao anawajibika kwao? Anapaswa kuomba radhi."
Ijumaa iliyopita, Zelensky alitembelea ofisi ya rais wa Marekani, Oval Office, mjini Washington DC, akitarajia mazungumzo chanya na rais wa Marekani pamoja na kutiwa saini kwa makubaliano muhimu.
=============================================================
Donald Trump’s decision to suspend all military aid to Ukraine will have an effect on the frontlines “within days”, a Ukrainian MP has warned.
Oleksandr Merezhko, who chairs the Ukrainian parliament's foreign affairs committee, told the BBC: "When we are in desperate need of American weaponry, of American support... [it] looks like siding with Russia" to end it now.
"I'm appealing to Mr Trump not to play with these dangerous issues because we're talking about lives."
His comments have been echoed by his fellow MPs, with Oleksiy Goncharenko urging president Volodymyr Zelensky apologise to Donald Trump. Mr Goncharenko, said the decision to pause military aid will be “catastrophic” and "thousands of people will die" as a result.
The Kremlin has welcomed the suspension of aid, adding it is the best contribution towards peace.
A Trump administration official said the US president was focused on reaching a peace deal to end the war, and wanted Mr Zelensky "committed" to that goal. The US was “pausing and reviewing” its aid, the official added, to "ensure that it is contributing to a solution”.
The decision came just hours after Mr Trump voiced frustration at Mr Zelensky for suggesting that the end of Russia's war against Ukraine likely "is still very, very far away”.