Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Mbunge wa Ukraine ambaye ni naibu waziri wa elimu bi Inna Sovsum ameiponda ziara ya rais Biden wa Marekani aliyoifanya nchini Poland. Amesema hotuba zake za kuwataka wananchi ya Ukraine wasiogope haina maana yoyote kwani kila siku vijana wanapotea.
Hotuba yake ni kama ya kuilinda nchi ya Poland huku mabomu yanadondoka na kutumbuka kwenye miji ya Kyiv,Kharkiv na miji mingine ya nchi yao.
Akaendeleza shutuma zake kwa kusema hotuba zake zaidi za kuwapa moyo waPoland lakini hazina athari kwa watu wa Ukraine. Majeshi ya NATO yapo Ulaya si kwa ajili ya Kupambana na Urusi bali kuzilinda nchi za Nato.