Ila ukiigeuza, endelea kuota tu maana ni ruksa [emoji23]Ni kwasababu habari inaikosoa Marekani si propaganda.
ila ukiigeuza iwe kinyume ielekezwe upande wa pili inakuwa propaganda za magharibi.
Tulia wewe na hiyo ni bichwa tu bado miili yake sijui unateseka kutokea pande za wapi ndugu yangu pole sana wasalimie NanjilinjiNi kwasababu habari inaikosoa Marekani si propaganda.
ila ukiigeuza iwe kinyume ielekezwe upande wa pili inakuwa propaganda za magharibi.
Uyu mchumba tu rangi za mdomo kama kweche hajuwi lolote, Zile Javelin na Stinger zilizomsambaratisha Putin Kyiv anajua zimetoka nchi gani??Mbunge wa Ukraine ambaye ni naibu waziri wa elimu bi Inna Sovsum ameiponda ziara ya rais Biden wa Marekani aliyoifanya nchini Poland. Amesema hotuba zake za kuwataka wananchi ya Ukraine wasiogope haina maana yoyote kwani kila siku vijana wanapotea.
Hotuba yake ni kama ya kuilinda nchi ya Poland huku mabomu yanadondoka na kutumbuka kwenye miji ya Kyiv,Kharkiv na miji mingine ya nchi yao.
Akaendeleza shutuma zake kwa kusema hotuba zake zaidi za kuwapa moyo waPoland lakini hazina athari kwa watu wa Ukraine. Majeshi ya NATO yapo Ulaya si kwa ajili ya Kupambana na Urusi bali kuzilinda nchi za Nato.
View attachment 2165671
Kyiv kwasasa ni Fotress sio mji tenaUyu mchumba tu rangi za mdomo kama kweche hajuwi lolote, Zile Javelin na Stinger zilizomsambaratisha Putin Kyiv anajua zimetoka nchi gani??
Mbunge wa Ukraine ambaye ni naibu waziri wa elimu bi Inna Sovsum ameiponda ziara ya rais Biden wa Marekani aliyoifanya nchini Poland. Amesema hotuba zake za kuwataka wananchi ya Ukraine wasiogope haina maana yoyote kwani kila siku vijana wanapotea.
Hotuba yake ni kama ya kuilinda nchi ya Poland huku mabomu yanadondoka na kutumbuka kwenye miji ya Kyiv,Kharkiv na miji mingine ya nchi yao.
Akaendeleza shutuma zake kwa kusema hotuba zake zaidi za kuwapa moyo waPoland lakini hazina athari kwa watu wa Ukraine. Majeshi ya NATO yapo Ulaya si kwa ajili ya Kupambana na Urusi bali kuzilinda nchi za Nato.
View attachment 2165671
Uyu mchumba tu rangi za mdomo kama kweche hajuwi lolote, Zile Javelin na Stinger zilizomsambaratisha Putin Kyiv anajua zimetoka nchi gani??
Ha ha haa,Nje ya mada,
Huyo naibu waziri kaolewa?
Nauliza tu.