Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mbunge hataki kukanyaga chini aone hali halisi?Wakuu!
Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Salim Alaudin Hasham, amebebwa na mwananchi mmoja wakati wa ziara ya kukagua barabara iliyoharibiwa vibaya na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani humo.
View attachment 3326252
View attachment 3326253
View attachment 3326256
UjingaWakuu!

Just imagine, Nadhan mwalim J.K.Nyerere leo hii akifufuka atashangaa kuona ujinga bado haukuondoka, ukekuwa weaponizedNa ndiye huyo anasema wananchi wake hawamdai kitu Samia
Uje kumjambia bure mwananchi wa watu kisa picha na umaarufuWakuu!
Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Salim Alaudin Hasham, amebebwa na mwananchi mmoja wakati wa ziara ya kukagua barabara iliyoharibiwa vibaya na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani humo.
View attachment 3326252
View attachment 3326253
View attachment 3326256
St. Upid kwelikwel. Tzed leaders dont like to experience or live the problems faced by wananchi. Unaena kakagua barabara masika huku umevaa viatu vyeupe?Wakuu!
Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Salim Alaudin Hasham, amebebwa na mwananchi mmoja wakati wa ziara ya kukagua barabara iliyoharibiwa vibaya na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani humo.
View attachment 3326252
View attachment 3326253
View attachment 3326256
Nchi ngumu Sana hii.Wakuu!
Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Salim Alaudin Hasham, amebebwa na mwananchi mmoja wakati wa ziara ya kukagua barabara iliyoharibiwa vibaya na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani humo.
View attachment 3326252
View attachment 3326253
View attachment 3326256
Wapagazi na wabwebwaniWakuu!
Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Salim Alaudin Hasham, amebebwa na mwananchi mmoja wakati wa ziara ya kukagua barabara iliyoharibiwa vibaya na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani humo.
View attachment 3326252
View attachment 3326253
View attachment 3326256
Jamaa ni Mwarab. Bado ana hang over ya mababu zake ya kuwafanyia utumwa wapogoroWakuu!
Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Salim Alaudin Hasham, amebebwa na mwananchi mmoja wakati wa ziara ya kukagua barabara iliyoharibiwa vibaya na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani humo.
View attachment 3326252
View attachment 3326253
View attachment 3326256
Huuu ni ujinga kabisaKwanza nicheke .
Hamna chochote zaidi ya ujinga