PreGE2025 Mbunge wa Ulanga abebwa na Mwananchi, akikagua Barabara iliyoharibiwa na Mvua

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
shida za watu sio barabara ndo maana hawana shida nae
 
Hao wapogoro wengi wao ni wajinga promax.
Acha waendelee kuchagua wabunge kwa kuhongwa kanga,chupi na kofia.
Umaskini utawaandama hadi mwisho wa dunia.
Tunajitajidi kupunguza ujinga!
Shida kubwa ni pale tunapokunywa ulanzi...Akili ndogo iliyobakia nayo inahama.
 
Angepita yeye kwenye maji hayo na matope angejua magumu ya wanajimbo wake ila kwa kubebwa hawezi kuelewa chochote kikubwa atavimba bichwa kuwa anapendwa na wananch pia usikute aliye mbeba kapewa posho sio kwa upendo
 
Hao wapogoro bado wanawaza utumwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…