Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Museven pamoja na kupindua katiba kuwa raisi wa milele bado anaishi kwa wasiwasi dhuluma mbaya sna hujiamini kama magufuli tu
Hata Jambio lako lilikuwa Gumu hivyohivyo Sema sasa hivi Lainiiiii Bila hata Vilainishi.
Kazi kubwa imefanyika kulilainisha. Marungu mengi yametumika
Ni wakati wa kujifunza kuheshimu mamlakaWazungu walipofika Afrika kwa mara ya kwanza enzi za mkolone waliita Africa is a DARK CONTINENT(Bara lililoko gizani). Huu ni ukweli ambao hauwezi kupingwa mpaka leo hii...!!!
Tuna Watawala wa ajabu sana Afrika. Baada ya mkolone kuondoka tumeweka VIONGOZI MADIKTETA WENYE UCHU WA MADARAKA WAKISHAINGIA IKULU HAWATAKI KUACHA AU KUONDOKA MADARAKANI. Wakishaona Mwananchi mwingine anataka kuchukua nafasi ya Uraisi kupitia Uchaguzi Huru wanaanza figusi za kuuwa ndugu zao wenyewe bora tu wabakie madarakani.
Huyu Bobi Togwa ni mhuni kama walivyo baadhi ya Wabunge hapa Tanzania. Tafuta Clip siku ambayo anaapiswa Bungeni uone alivyofanya fujo. Hata hivyo Museveni alimvumilia sana. Alipofikia ilikuwa ni zaidi ya kumshika Museveni makalio. Amevuna alichopanda. Mamlaka zinaheshimiwa Ulimwengu mzima.Kwa kw
kwa kweli kushindana na hizi dola za kiafrika inataka moyo sana. Huyu wine aliyajua yote haya lakini sijui kwa nini hakuchukua tahadhari au kwa kuwa mbunge aliona yuko salama labda.......
Hata Jambio lako lilikuwa Gumu hivyohivyo Sema sasa hivi Lainiiiii Bila hata Vilainishi.
Kazi kubwa imefanyika kulilainisha. Marungu mengi yametumika
Kwanza hizi si uniform za jeshi letu. Koma kudanganya watu
Anasema mambo saafi.
Bhaaaaaaaaaass!Ni wakati wa kujifunza kuheshimu mamlaka
Magufuli alisifiwa kwa kazi, akasema congratulations to my namesake John Megafoul (Magufuli)Donald Trump alipoingia madarakani aliweka wazi kuwa Viongozi ving'ang'anizi Afrika lazima waondoke madarakani na akawataja kwa majina kina Robert Mugabe, Yoweri Museven, CCM ya Magufuli n.k. kuwa lazima watimliwe!!!!. Tayari Mzee Mugabe alishabwaga manyanga....one at a time they'll go!
Mugabe alichajizeekea,alikuwa amepanga ampe kiti mkewe,makomredi wenzetu wa ZANU-pf wakaona wampumzishe.Tayari Mzee Mugabe alishabwaga manyanga...
Wewe ni muongo sana sijui lengo lako ni nini.CCM ya Magufuli n.k. kuwa lazima watimliwe!!!!.
Acheni upuuzi. Hii picha ni ya Comorro sio Uganda.Bobi wine
Today we spent the whole day in Gulu. Bobi Wine was produced before the military court and charged with three counts of illegal possession of firearms. No one else was permitted to see him including his family and the press, except lawyers Hon. Asuman Basalirwa and Hon. Medard Ssegona. He has been remanded to Makindye military prison until 23rd August, 2018.
According to the two lawyers, Bobi is in a very worrying state. He was badly tortured. He cannot stand, sit or even walk on his own. His face is badly deformed and he has a fractured back and hip. He has wounds all over his body, including one on his head and ear. The lawyers also say that he has not yet fully regained consciousness and does not fully appreciate what is going on around him. He could barely talk coherently to them.
Friends of Bobi home and abroad, this is the state of affairs!
Thank you all for the love, concern and support.
View attachment 838915
Mugabe alichajizeekea,alikuwa amepanga ampe kiti mkewe,makomredi wenzetu wa ZANU-pf wakaona wampumzishe.
Fuatilia siasa wewe..mkutano mkuu wa Zanu-pf ndio ulioamua kuwa apumzishwe.Mugabe@93 alikuwa bado anataka aendelee kuwa Rais wa Zimbabwe kwa kisingizio cha kupigania Uhuru wa Zimbabwe. Jeshi likaone isiwe taabu akalazimishwa kupumzika kwa mapinduzi ya kimya kimya au kistaarabu. Bila Jeshi kufanya hivo huyu kibabu angelikuwa bado yuko Ikulu ya Zimbabwe..!!!
Wewe ni muongo sana sijui lengo lako ni nini.
Fake news ndio unazileta jamvini.ulivyokuwa mpuuzi.imhotep,
Muongo ni wewe unayepingana na ukweli. Kama hukuwahi kusikia tamsi hilo la Donald Trump fanya kazi ya research so that you can have the right to speak..
Fuatilia siasa wewe..mkutano mkuu wa Zanu ndio ulioamua kuwa apumzishwe.
Hakukuwa na coup detat ilikuwa Army takeover ya kawaida,na bado akakataa kuachia kiti ndio chama kikaa kikao na kumpumzisha.Robert Mugabe says ‘coup d’état’ ended his rule in Zimbabwe