Mbunge wa upinzani anavyopigwa na mwanajeshi mafichoni, utawala wa mabavu huu sasa

Tuletee hiyo clip
 
Zimbabwe ruling party seals Mugabe's fate

Harare — Delegates from Zimbabwe's ruling party on Friday sealed the fate of Robert Mugabe, a man they had revered for decades but removed from power in dramatic scenes last month.

The ZANU-PF congress officially endorsed its Central Committee's decision to recall Mugabe and replace him with Emmerson Mnangagwa as its leader. It also endorsed Mnangagwa as its candidate for the 2018 elections. Mnangagwa was inaugurated as the country's new president last month


Harare - Zimbabwe's new president, Emmerson Mnangagwa, is expected to use a conference of the ruling Zanu-PF party on Friday to consolidate his grip on power.
 
African politik... The madness of selfish politicians
 
Hakukuwa na coup detat ilikuwa Army takeover ya kawaida,na bado akakataa kuachia kiti ndio chama kikaa kikao na kumpumzisha.

Mzee Mugabe ameshazeeka anaongea kwa hasira tu.

Sasa tukuamini wewe au Mzee Mugabe?
Kumbuka Mzee Mugabe ni askari mstahafu aliyepigana vita vya msituni kuwaondoa Waingereza waliokuwa wanaitawala ZImbambwe hivo akisema hayo yalikuwa ni mapinduzi ya kijeshi lazima tumwamini!!!!.
 
Sasa tukuamini wewe au Mzee Mugabe?
Kumbuka Mzee Mugabe ni askari mstahafu aliyepigana vitu vya msituni kuwaondoa Waingereza waliokuwa wanaitawala ZImbambwe hivo akisema hayo yalikuwa ni mapinduzi ya kijeshi lazima tumwamini!!!!.
Soma post #42 Mzee mugabe alikuwa anaongea kwa hasira tu ila yuko salama anakula pensheni yake,na chama chake cha Zanu-pf bado kinatawala kwa kupendwa kwa kupewa ridhaa tena.
 
Fuvu la mpinzani wa hapa kwetu Afrika ni gumu sana bila ya kulilainisha kwa virungu..msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

imhotep,
Are you serious...??!! Kwamba fuvu la mpinzani ni gumu lina hitaji virungu? You must be joking. Siku na wewe ukihamia upinzani tukutwange virungu maana fuvu litakuwa limekuwa gumu???Acha hizo.
 
..
Mkuu usiongee usilofahamu..... Kesi yake ni kukutwa na silaha kinyume cha sheria ambazo amebambikiziwa ili wapate sababu ya kumkamata...... Wapinzani wakiwa wapole kama kina mbowe mnawaita wanalialia wakichukua hatua kma kina Bobi wine mnawaita wahuni

Cjui huwa mna shida gani washabiki wa CCM..... Na kwa taaifa yako hilo jimbo la Arua wameshinda kwa kishindo so ukimuita muhuni haisaidii wagganda wamempa kura mgombea aliyemuunga mkono
 
Soma post #42 Mzee mugabe alikuwa anaongea kwa hasira tu ila yuko salama anakula pensheni yake,na chama chake cha Zanu-pf bado kinatawala kwa kupendwa kwa kupewa ridhaa tena.
Kura zipi yaani 50% ndio kupendwa na nchi?? Je hiyo 50% nyingine vipi mbona haikumchagua huyo anayejiita mamba???

Tuache ushabiki chaguzi zetu bado zina vimbwamga vingi mkiwa kwenye keyboard hamuelewi
 
imhotep,
Are you serious...??!! Kwamba fuvu la mpinzani ni gumu lina hitaji virungu? You must be joking. Siku na wewe ukihamia upinzani tukutwange virungu maana fuvu litakuwa limekuwa gumu???Acha hizo.
Umeuangalia Ubongo size yake?!
 
Ni wakati wa kujifunza kuheshimu mamlaka
Hata ikiwa ya kihuni?? Sasa kosa la Bobi ni lipi?? Kisa aliwanyoosha kwenye uchaguzi wa juzi ndio hasira zote mumbambikie silaha..... Hyo hoteli inadai silaha zimepandikizwa wakati wanamsaka bobi ili wapate sababu sasa nyie washabiki wa mitandaoni mna conclude aheshimu mamlaka bila kujali hiyo mamlaka inatenda haki au lah...... Endeleeni tu kumpa kichwa huyo dikteta afu siku akipinduliwa kama mugabe tuone mnatoka mapovu humu kulaumu wazungu
 
Kuhusu msafara wa m7
 
Vipi huko hakuna ubalozi wa Marekani? Kama vipi huyu kima wa huku kwetu atoe tamko kwa niaba! Hiyo ndo trailer ya violence sasa Dr Besidje anafanya siasa katika mazingira magumu kuliko wapinzani wote pengine AFRICA labda wanamzidi wapinzanj wa Kagame Tu.Halafu jumuiya ya kimataifa yanainaga muda na siasa za UG
 
Sio upinzani huu,, huo ujao baada ya kifo cha xhadema.
Mimi ninayekuambia nimeanzia Tanu youth league ,halaiki ya sherehe za CCM nimezicheza sana .
Najuwa ninachokisema . Utamuua mwanao kisa tofauti za kiitikadi. Tumeona juhudi zenu kwa Saa 8, TAL, Mawazo, Ollasiti, Hananasifu etc.
 
Hivi wanajeshi na mapolisi wa Africa mbona mnakua machoko sana na kuwanyanyasa majority ambao ndo wanawafanya mle,mnye,mvae hizo gwanda,mabuti na kubeba hizo bunduki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…