Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,818
- 5,555
Hapana hahusiki hao ni wananchi wenye hasira zao ila yeye Bobi kashtakiwa kwa njama za kumpindua museveni kwa kuwa na silaha za kivita hotelini kwake ndio hicho wananchopigia kelele watu kwamba hizo silaha nani kathibitisha alikua nazo bobi wakati hoteli inasema alipokuja hakuwa na hizo silaha kivp awe nazo cku ya jeshi kuvamia hoteli???Kuhusu msafara wa m7
Makosa mawili yanayofanya Bobi Wine ashtakiwe – Millardayo.comHapana hahusiki hao ni wananchi wenye hasira zao ila yeye Bobi kashtakiwa kwa njama za kumpindua museveni kwa kuwa na silaha za kivita hotelini kwake ndio hicho wananchopigia kelele watu kwamba hizo silaha nani kathibitisha alikua nazo bobi wakati hoteli inasema alipokuja hakuwa na hizo silaha kivp awe nazo cku ya jeshi kuvamia hoteli???
Mkuu tuache ushabiki bobi kakamatwa hotelini na walioandamana walifyatuliwa risasi je ilikuwaje bobi asikamatwe kwenye maandamano ila afuatwe hotelini usiku???
Tena ya tukio la 2008Acheni upuuzi. Hii picha ni ya Comorro sio Uganda.
Ndio hapo sasa.Tena ya tukio la 2008
Hivi ni kitu gani kilimtuma kwenda kuvamia msafara wa Rais.
Mambo mengine..
Mkuu Bobby alikuwa kwenye hotel ndani wakati vurugu zimeanza na ndipo alisakwa kukamatwa sasa hayo ya kuvamia msafara yanatoka wapi??? Yye hakuwepo ndio maana wakambambikiza amekutwa na silaha ili wapate pa kumfungia maana walijua vurugu hahusiki wala hakuepomambo mengine ni kujitakia...
ni nini kilimuwasha mpaka akavamia msafara wa raisi akiwa na genge lake na kuanza kuushambulia? SHERIA ZINASEMAJE JUU YA HILI LA KUVAMIA STATE CONVOY
maana tusiwe tunatetea tuuu wakati mtu tatizo kalitafuta mwenyewe
Mkuu tuache ushabiki bobi kakamatwa hotelini na walioandamana walifyatuliwa risasi je ilikuwaje bobi asikamatwe kwenye maandamano ila afuatwe hotelini usiku???
Bobi hakuwepo eneo la tukio yye aliona kwenye TV dereva wake kauawa ndio akaoma wanajeshi wamezingira hoteli na ndio wakavunja vyumba na baadae usiku ndio wakamkamata sasa sijui unaposema alizuia msafara wa museveni ni upi na lini
Zaidi walichomkamatia ni kuzuga ana madawa ya kulevya na bunduki tena SMG!! Yaani hoteli inakana hizo silaha ila polisi ndio wanasema zilikuwa humo hotelini ssa SMG 2 bobi apeleke wapi?? Na alizibebaje hadi Gulu/Arua kiasi siku zote hashikwi nazo hadi pale museveni anapokataliwa na wananchi waliochoka udikteta wake??
Na toka lini raia akahukumiwa jeshini?? Kama kosa la uhaini si lina mahakama zake za kiraia?? Torture pia inaruhusiwa na sheria ipi ??
Tuache ushabiki bobi is innocent hayo ya kurusha mawe ni mengine hayahusiani na bobi tuwe tunafuatilia mambo tusisubiri millard ayo apost mitandaoni ndio tukimbilie kupaste humu.... Angalia hata bukkedde au NBS au NTV U ndio utapata details nzuri zaidi
Acha ufala Wewe Ndio akili yako na chuki zako zilipoishia hapo wapi Trump Amesema maneno hayo au ni babu YAKo mwenye jina LA. Trump maguful ameng'ang'ania madaraka lini wakat Yupo kikatiba Acha chuki zitakuua Kwa husdaDonald Trump alipoingia madarakani aliweka wazi kuwa Viongozi ving'ang'anizi Afrika lazima waondoke madarakani na akawataja kwa majina kina Robert Mugabe, Yoweri Museven, CCM ya Magufuli n.k. kuwa lazima watimliwe!!!!. Tayari Mzee Mugabe alishabwaga manyanga....one at a time they'll go!
Acha ufala Wewe Ndio akili yako na chuki zako zilipoishia hapo wapi Trump Amesema maneno hayo au ni babu YAKo mwenye jina LA. Trump maguful ameng'ang'ania madaraka lini wakat Yupo kikatiba Acha chuki zitakuua Kwa husda
Shithole country at its best , Trump wasn't wrong at all when he brought out this remark to the world , we are in deed the best shithole beasts that the World has ever seen , I have every reason to believe M7 ordered these vicious blood suckers to do what they have done , it is the same way that political oppositional idealists have been handled in this country for years .
Can you imagine that Tanzania is the country that is considered to the most democratic , peaceful and a political tolerant state even to this day in this continent.
Tanzania has a very dark and horrific reputation for many years just the same way as the other African shitholes countries does .eg . the assasination attempts on Tundu Lissu , the abduction and disapearance of Ben Saanane , Dr. Ulimboka ....the list goes on and on , brutal crushing , beatings and persecution of opositional political activists and Journalists ,surpressional subotage of the constitutional ammendment ,
When you are born in this part of the world with constructive oppositional ideas that is the obvious price that you have got to pay , these selfish cowards and insane maniacs that we call national leaders will do what ever it takes to get rid off anyone from standing against their demonic activities .
Remember folks we are dealing with Devils in our own houses , how can someone rule a democratic country for such long and literary turning a state as his own private property , ruling it with sadistic brutality yet again very tiny ( next to nothing ) development for all these years .
Look , here is dumbest excuse that these fools always use as a scapegoat in commiting these evils : they will always legitimise someone's murder and torture by labelling him a as a treasonous and unpatriotic to the country , what about the one who manipulates the constitution and other arms of the Government and compelling them to crush down political opposition so as to favour his long stay in power contrary to what is supposed to be .
The whole world knows how corrupt , diseases rampant , uncivilised , poor , politically unstable and ignorant Sub Saharran countries are , this makes us looks like the least evolved savage beasts in the jungle running arround butt naked with knives on our hands preying one another .
We are deemed to be retarded by letting these despicable fools and lunatics to screw us like subhumans , it is our own mistakes and it will always stay to be so unless something is done about it , something is seriously wrong in this part of the world . Shame on us by letting this happen
Bobi wine
Today we spent the whole day in Gulu. Bobi Wine was produced before the military court and charged with three counts of illegal possession of firearms. No one else was permitted to see him including his family and the press, except lawyers Hon. Asuman Basalirwa and Hon. Medard Ssegona. He has been remanded to Makindye military prison until 23rd August, 2018.
According to the two lawyers, Bobi is in a very worrying state. He was badly tortured. He cannot stand, sit or even walk on his own. His face is badly deformed and he has a fractured back and hip. He has wounds all over his body, including one on his head and ear. The lawyers also say that he has not yet fully regained consciousness and does not fully appreciate what is going on around him. He could barely talk coherently to them.
Friends of Bobi home and abroad, this is the state of affairs!
Thank you all for the love, concern and support.
View attachment 838915
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] uko vizuri kisukuma mazi ga nyanza hivi hili neno huwa linamaana gani ? Kuna jamaa mmoja msukuma huwa anapenda sana kulitumiaFALA ni wewe usiyejua lolote wala chochote kinachoendelea katika dunia hii..!! Nilichosema ni CCM ya Magufuli ndiyo imeng'ang'ania madarakani. Soma historia kama kuna chama kingine kimewahi kutawala Tanzania zaidi ya CCM....Je, kuna tofauti gani ya chama kung'ang'ania madarakani na Rais anayebadilisha Katiba ili aendelee kutawala milele.....!!Rais king'anganizi na Chama king'ang'anizi wote ni mazi ga nyanza.....!!!
mambo mengine ni kujitakia...
ni nini kilimuwasha mpaka akavamia msafara wa raisi akiwa na genge lake na kuanza kuushambulia? SHERIA ZINASEMAJE JUU YA HILI LA KUVAMIA STATE CONVOY
maana tusiwe tunatetea tuuu wakati mtu tatizo kalitafuta mwenyewe