Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,662
- 6,888
Jamani naombeni msaada hapa, hivi vyama vyetu vya siasa vinatumia vigezo gani kuteua wabunge wa viti maalum? Mfano wale wa CUF na Chadema 2005 - 2010 walichaguliwa vipi, vigezo vilikuwa ni nini? Chadema Parliament of Tanzania CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO, CUF Parliament of Tanzania CCM Parliament of Tanzania