Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Mbeya Bahati Ndingo Ajiuzulu, Ili Kugombea Nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbarali

Kwisha habari yake
 
HAKUNA UCHAGUZI TOKA 2020 MPAKA 2025.
Bunge la ccm linalopitisha kila kitu . Hayo yote ni matunda ya dhuruma. Na Magufuli watanzania hatutamsahau kwa kuminya demokransia na tune guru ya uchanguzi leo tuna bunge la ajabu na spika kituko. Tangu lini hasiyechaguliwa akawahehimu wananchi? . Ukishangaa ya wabunge utakutana na ya Wakuu wa w/mikoa (chalamila / munyeti n.k )
View attachment 2721645
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…