johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mnyika ana nafasi gani bungeni? Acheni ujuha wenu kenge maji nyieNi
Ni Mnyika
Mbunge wa wapi na wa kitu gani?Kwa kukiri tu Kuwa alihonga wajumbe Ndio akapitishwa Kuwa mbunge mh Felista Njau amejidharirisha na kuitia aibu Chadema
Nitashangaa kama 2025 watampitisha tena
Masahihisho : Chadema haina mbunge wa Viti Maalum Bungeni
Na Bado 😂😂😂😂Masahihisho : Chadema haina mbunge wa Viti Maalum Bungeni
Mwongo wee !!Chadema bila rushwa huwezi kupata ubunge
Na Utomboy😂Chadema na rushwa ya pesa na ngono huwatenganishi
Ni damu damu yaani
CCM tena??!CCM kumekucha [emoji23][emoji91][emoji209]
Kwan anaekiri ni raia wa kawaida au katibu kata? Ishi humoTAKUKURU mko wapi ? Mtu anakiri kuzambaza pesa kwa ajili ya kupata kitu kinyume na utaaribu hadharani .
"Mungu anakupa kitu ukiwa unafanya" huyu ni Mungu wa namna gani anayesupport rushwa kwa wajumbe?Felista Njau, Mbunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA, ameeleza jinsi ambavyo kwenye siasa za Tanzania bila kutumia pesa kununua kura huwezi kupata uongozi
Asimulia jinsi wabunge COVID-19 walivyoitwa na kigogo Dodoma kuapishwa kwa siri
Chadema ilishasema vita maalum vifutwe na kuonyesha seriousness ndio chama pekee kilichoweka wagombea wengi wanawake katika historia ya Tanzania zaidi ya 75 waligombea majimboni.Kuna hitaji kubwa la kikatiba kuongeza sifa na vigezo vya mtu kuwa Mbunge. Alichoongea Felista ni uharo mtupu na kadhihirisha alivyo mtupu kichwani. CHADEMA nao wajisahihishe. Rushwa ndani ya chama chao imekithiri hasa nyakati za uchaguzi. Au watataka kusema CCM ndo imesababisha wao kuwa na wajumbe wapenda rushwa kwenye chaguzi zao za ndani?