Huyu mama mpuuzi. Anamfahamu Mungu vizuri kweli? Mungu na hizi takataka wapi na wapi?Huyu mama wa CHADEMA ni mpuuzi. Kwahiyo Mungu anahusika na kutoa rushwa? Aseme tu shetani alimwinua. Asimhusishe Mungu na mambo ya rushwa za huko kwao CHADEMA.
CCM wana mbinu za kishamba sanaKwa kukiri tu Kuwa alihonga wajumbe Ndio akapitishwa Kuwa mbunge mh Felista Njau amejidharirisha na kuitia aibu Chadema
Nitashangaa kama 2025 watampitisha tena
?Huyu mama wa CHADEMA ni mpuuzi. Kwahiyo Mungu anahusika na kutoa rushwa? Aseme tu shetani alimwinua. Asimhusishe Mungu na mambo ya rushwa za huko kwao CHADEMA.
Hakuna mwanasiasa Tanzania asiyetoa rushwa, iwe chama tawala au upinzani. Nchi inanuka rushwa hii na hii ni laana.Aisee kwani chadema kuna haya jamani? Huyu atakuwa muongo tuu anawasingizia chadema!
Kilichonishangaza ni kusema Mungu ndiye aliyemsaidia...Mungu asaidie mtoa rushwa kweli? Daah hizi Imani ni diversed kweli kweli...Hii clip inatosha kabisa muda huu kuwa awe ameshahojiwa Takukuru na baadaye kupandishwa kizimbani kwa kutoa rushwa. Nasubiri watu wa haki za binadamu kumuwajibisha kama Takukuru watazembea
Soma maelezo vizuri mbona anaeleweka jamani. Alivyoitwa na kigogo Dodoma. Ulipaswa kuuliza huyo ni kigogo wa chama au wa serikali. Ofisi kuu za Chadema ziko wapi? Na maswali mengine machache yanakupa picha ya kigogo huyoAisee kwani chadema kuna haya jamani? Huyu atakuwa muongo tuu anawasingizia chadema!
Kuna kigogo Chadema anaapisha wabunge tangu liniHuyu mama wa CHADEMA ni mpuuzi. Kwahiyo Mungu anahusika na kutoa rushwa? Aseme tu shetani alimwinua. Asimhusishe Mungu na mambo ya rushwa za huko kwao CHADEMA.
Takukuru sio taasisi ya kuzuia bali kusambaza rushwa. Kumbuka Madudu ya CAG kuna aliyeitwa kuhojiwa walaoTAKUKURU kwanini wasimkamate kama alitoa rushwa?
Nchi ngumu hili🤣🤣🤣🪑💺🎶TAKUKURU kwanini wasimkamate kama alitoa rushwa?
Wao huwa wanakimbizana na WEOsNchi ngumu hili🤣🤣🤣🪑💺🎶
Aliitwa na spika wa bunge akaape kwa siri.Aisee kwani chadema kuna haya jamani? Huyu atakuwa muongo tuu anawasingizia chadema!
Ukweli mtupu, kuna mwingine mpaka alivunja ndoa yake na akaolewa na kigogo kisa uviti maalumu!Aisee kwani chadema kuna haya jamani? Huyu atakuwa muongo tuu anawasingizia chadema!