CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
Wale wa ccm ni mkakati wa kuwatema kuwa walijihusiasha na rushwa! Polepole has hinted that!Mbona TAKUKURU hawaja mkamata kama inavyo fanya kwa wale wa Ccm??
Hiyo hela ingemsaidia baada ya October 2020 maana CUF inaenda kuungana na TLP, UDP, NCCR na wengine.
Huyo ni CCM mwenzaoMimi nilitarajia pccb watamfanyia figusu Kama Yule aliyetaka kugawa baiskeli...
Unapouliza jibu kuhusu CUF unataka ujibiwe nini tena?Hiyo pesa ya hivyo vifaa bola angenunua akiba ya mahindi,CUF bado ipo?