Time will tell kama jiwe atawapokea wote wakati kuna wana CCM wamefia chama. Muda ni mwalimu mzuri!Mbunge wa Viti Maalum (CUF) mkoa waTabora, Rehema Juma Migila amejiunga na CCM akidai kuridhishwa na utekelezaji wa ilani za chama hicho chini ya uongozi wa Rais Magufuli
Amesema amerudi CCM akiwa na akili zake timamu bila kushinikizwa wala kushikiwa bunduki na pia chama hicho kimekuwa cha Waungwana na Wazalendo bila kujali tofauti za watu
Salary Slip ngoja tusubiri muda. Muda ni mwalimu mzuri! Akili ndogo tu, it might have been possible to retain her seat with CUF rather than with CCM.Sijui kama wote wataweza kupewa vyeo na mwisho wa siku itakuwa ni vurugu,visasi,usaliti na chuki kwa watakaoksa.
Umeniwakilisha katika kufikiri hapaSijui kama wote wataweza kupewa vyeo na mwisho wa siku itakuwa ni vurugu,visasi,usaliti na chuki kwa watakaoksa.