Mbunge wa Viti Maalum Jacqueline Ngonyani: Wanawake kuwa na kipato sio chanzo cha kumnyanyasa mumeo

Mbunge wa Viti Maalum Jacqueline Ngonyani: Wanawake kuwa na kipato sio chanzo cha kumnyanyasa mumeo

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Akiongea na wanawake wa mkoa wa Ruvuma katika kongamano la wanawake wa mkoa huo Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Ruvuma, Mhe Jacqueline ngonyani Msongozi amesema mwanamke kuwa na kipato sio kigezo cha kumvunjia heshima mume wako ni wajibu wa mwanamke kumuheshimu mwanaume hata kama unashughuli ambayo inakuingizia fedha


 
Kumbe wao wakati wakifanya hivyo walikusudia nini, yaani mwanamke awe na pesa alafu akawe mtiifu kwa mmewe?

Kama kuyakanyaga washayakanyaga sasa wasubiri matokeo ya kuachia pesa kwa wanawake huku wanaume wakizidi kuwa masikini
 
Back
Top Bottom