Charlisious
New Member
- Jun 15, 2020
- 3
- 0
Anayejua alichangia nini cha maana bungeni zaidi ya kuchukua posho atuwekee clip.KAGERA MPOOO!!
Baada ya Shughuli za Bunge kuahirishwa,sasa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa Kagera Mhe. Oliver D. Semuguruka (Twiga) anakuja kufanya Ziara katika Wilaya zote za Mkoa Kagera.
“ Kiongozi bora ni yule aliye karibu na anaowaongoza.” Ni Imani yangu kuwa kila mmoja ni shuhuda wa namna ambavyo Mheshimiwa Twiga ameendelea kuwa karibu na wanakagera katika nyakati zote.
#TunaongeaKwaVitendo
#UWT Imara
#WanawakeNiJeshiKubwa
#KageraNiYetu; Tushirikiane Kuijenga
#SamiaNaOliver; KaziIendelee
#ShirikiUchaguziWaSerikaliZaMitaa
View attachment 3039001
Fuatilia michango yake bungeni na maswali yake yote. Huyo sio Mbunge wa kukaa tu kimya Bungeni. Waulize watu wa Kagera watakuambia.Lakini pia unaweza tu kufatilia kupitia Mitandao ya kijamii mchango wake BungeniAnayejua alichangia nini cha maana bungeni zaidi ya kuchukua posho atuwekee clip.
Viti maalumu wa Fisiemu wote wafuata ruzuku tuu.
Chakula ya mvaa maskafu shingoni hadi kainunulia NISAAN V 8 rangi ya Maroon plate number TWIGAHuyu manzi ni kisu ile laana. Aendelee tu kuteuliwa ili bunge letu liendelee kuwa na visu. Kuna wakati nilisikia mzee wa tozo anamega nikapata wivu wa karne...
Anaenda kuwachora wale wanawake masikini, na kuzuga wako wote, kwa kifupi huu muda nu muda wa Assimilation policy kama ya MrenoKAGERA MPOOO!!