Pre GE2025 Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos amesema kuwa dunia inapaswa kuangalia uongozi wa CCM kama mfano

Pre GE2025 Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos amesema kuwa dunia inapaswa kuangalia uongozi wa CCM kama mfano

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Yupo sahihi kabisa. Iangaliwe kama mfano wa Ubebari, umwinyi, wizi, tamaa na ulaghai.
 
Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos ameeleza kuwa dunia inapaswa kuangalia mfumo wa chama cha mapinduzi kama mfano katika uongozi kwani chama hicho kina sifa za kipekee
View attachment 3226747
Sasa kwa la ajabu gani lilifanywa na CCM hadi watizamwe kama mfano?

Licha ya kusumbuliwa na uchawa, nadhani huyu anahitaji msaada haraka. Kama kuna somo toka kwa ccm ni kuhakikisha hata wadudu au wanyama hawatawaliwi au kusimamia na wanyama waitwao au kufanana na maccm.​

 
Back
Top Bottom