Mbunge wa zamani, Bwege anaumwa, amekatwa mguu, tumuombee

Matatizo hayaondoki kwa maombi!
Ingekuwa maombi yanatoa shida, watu wangekaa tu, waombe V8, ajira, pesa, kama bakheresa,
Matatizo yanaondoka kwa, kufanya kazi, hata tukiomba, kama ni wa kufa, atakufa tu!
 
Kumuombea Mtu maana yake ni Good Wishes juu yake. Haiondoi kuwa tayari kakatwa mguu lakini kibinadamu inatia moyo na Faraja.

Just That.

Matatizo duniani hayaishi hata uwe na pes, mali na vyeo
 
Matatizo hayaondoki kwa maombi!
Ingekuwa maombi yanatoa shida, watu wangekaa tu, waombe V8, ajira, pesa, kama bakheresa,
Matatizo yanaondoka kwa, kufanya kazi, hata tukiomba, kama ni wa kufa, atakufa tu!
Kila kitu kinawezekana Kwake aaaminiye.kama huamini yeye(kristo)ni wa kiaminiwa

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Tangu Mabere Marando, mjumbe wa kamati kuu chadema augue, chadema hawajawahi kumtembelea
 
Niishie Kusema, "We are what we eat"
tule kwa afya, tufanye mazoezi,
Afya ndio mtaji No. 1,
Pole kwa Mbunge Bwege
 
Itakuwa sukari...Mungu Mwenyezi ampe unafuu.
 
Nimemsikia anasema iwapo WanaKilwa wakimchagua tena basi atarudi Bungeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…