Uchaguzi 2020 Mbunge wa zamani Mufindi Kusini azuiwa kugawa baiskeli kwa wapiga kura wake

BVR 2015

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
344
Reaction score
713
Aliekuwa Mbunge wa CCM kutokea Jimbo la Mufindi Kusini Ndugu Mendrad Kigola amezuiwa na uongozi wa Chama cha Mapinduzi katika wilaya ya Mufindi kugawa Baiskeli alizozileta katika ofisi ya CCM Mafinga Mjni

Kiongozi huyo wa zamani alitaka kugawa baiskeli kwa wajumbe wa kata, vijiji na vitongoji katika jimbo lake la uchaguzi



 
CCM wamefanya vizuri kuzikataa baiskeli zenyewe ni za akina mama hizo sio za wanaume
baiskeli za wanawake ziko hivi


za wanaume huwa zinakuwa hivi


naona hajui hata tofauti ya baiskeli za kike na kiume
ZA KIKE huwa hamna bomba ya kunyooka kutoka kiti kuelekea kwenye usukani za kiume huwa na bomba la kunyooka
 
Yehodaya sijui unafeki wap mluguru wewe..!!.
mada mezani ni hazitakiwi kugawiwa fustop...hakuna Mambo ya "migamba "au Nini! Mnahonga mibaisikeli ili iwaje?
Huo mkoa una Hali ya hewa Safi hata kupanda Maua muexport mmekalia kuhonga mabaiskel..!
Watafutieni wakulima masoko mazuri ya mazao yao....huko Mufindi nwdys wanalima had kahawa...watafutieni masoko kuanzia kilimo Cha mbogamboga had chai!..plus uyoga!
Yaone!
 
Dah! Leo ndio nimetambua kwamba kuna bike "ke na me." Haya tujuze na gari "ke na me"
 
CCM bila rushwa haiwezekani.
 
Wamezuia muda haujafika. Muda ukifika watazigawa kwa wahusika, au siyo? Kwani umesikia ameshikiliwa na TAKUKURU kuhojiwa? Nahisi muda haujafika amewahi mno!
 
wananchi fungueni akili,huku ni kudhalilishwa alikuwa wapi kugawa baiskeli siku zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…