Uchaguzi 2020 Mbunge wa zamani Mufindi Kusini azuiwa kugawa baiskeli kwa wapiga kura wake

Wonders shall never cease Kuna mwingine amekamatwa anagawa elfu 10.
Dah kweli hii nchi watu maskini Sana
 
Huwezi kuitenganisha CCM na Rushwa
Chadema kwa usahaulifu hamjambo kuna waliomwaga rushwa kama chadema 2015 kipindi cha Lowasa?CCM HATUKUTOA chadema uliza hata walevi wa dar,arusha,mbeya ,manyara ,iringa nk walivyokuwa wakileweshwa bure hadi kuamkia siku ya kupiga kura ..ULIZIA BODA BODA walivyojaziwa mafuta na kulipwa ,ulizia viongozi wa dini walivyolamba rushwa .Katika historia ya Tanzania hakuna chama kilimwaga pesa ya rushwa kama chadema 2015 haijawahi tokea katika historia ya taifa hili

WABUNGE wote wa chadema waliingia kwa rushwa

Safari hii rushwa inadhibitiwa chadema haiwezi pata mbunge hata mmoja
 
Hata huyo Mbunge ni mpumbavu,amezisomba tu mtumbani kwa mpemba
Ni wa kukatwa huyo hata kwenye kura za maoni asiwepo
 
Taja matukio 2 ya waliokamaatwa wakitoa rushwa

CCM imejengwa kwa misingi ya RUSHWA
 
Chadema watoe rushwa alafu Takukuru wawe wanaangalia tu acha uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…