TANZIA Mbunge wa zamani wa Morogoro Kusini Mashariki, Semindu Pawa afariki dunia

TANZIA Mbunge wa zamani wa Morogoro Kusini Mashariki, Semindu Pawa afariki dunia

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Pawa.jpg

Mbunge wa zamani wa Morogoro Kusini Mashariki, Semindu Pawa amefariki dunia leo Februari 17

Pawa amewahi kushika nafasi mbalimbali ndani ya CCM na hadi anakutwa na mauti alikuwa mjumbe wa baraza la wazee la CCM
 
Back
Top Bottom