Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Mwanasiasa mkongwe aliyewahi kuwa M bunge wa Sumbawanga, Paul Kimiti, amesema wanasiasa wanatakiwa kukaa bungeni kwa muda maalum na kuondoka wakiwa bado wanahitajika na wananchi, badala ya kusubiri hadi wachokwe.
Kimiti amesema si vizuri kukaa muda mrefu bungeni, na kwamba hata yeye aliamua kupumzika kwa hiyari yake, jambo ambalo limemsaidia kuwa na afya njema.
Kimiti amesema si vizuri kukaa muda mrefu bungeni, na kwamba hata yeye aliamua kupumzika kwa hiyari yake, jambo ambalo limemsaidia kuwa na afya njema.