Mbunge wa zamani wa Ubungo, Saed Kubenea achukua fomu kugombea Urais wa TFF

Mbunge wa zamani wa Ubungo, Saed Kubenea achukua fomu kugombea Urais wa TFF

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio taarifa ya sasa kutoka ofisi za TFF , Hata hivyo kabla ya kukabidhiwa fomu yake Kubenea alilalamika kwamba kulikuwa na njama za kumchelewesha makusudi.

Mwananchi_(@mwananchi_official)_posted_on_Instagram:_“Mbunge_wa_zamani_wa_Ubungo,_Said_Kubenea...jpg
 
Aungwe mkono tu, ni mwana Yanga mwenzetu huyu.

Abas Tarimba alistahiki ila kuwa kwake kiongozi wa taasisi ya Michezo ya Kubeti (Sportpesa) kunamfanya akose sifa.
 
Aungwe mkono tu, ni mwana Yanga mwenzenu huyo.

Abas Tarimba alistahiki ila kuwa kwake kiongozi wa taasisi ya Michezo ya Kubeti (Sportpesa) kunamfanya akose sifa.
Kwahiyo nyinyi yanga ndio mmeamua kuleta majina yenu siyo
 
Aungwe mkono tu, ni mwana Yanga mwenzetu huyu.

Abas Tarimba alistahiki ila kuwa kwake kiongozi wa taasisi ya Michezo ya Kubeti (Sportpesa) kunamfanya akose sifa.
Hili la wanayanga kujazana kuchukua fomu ni bora angekua mgombea mmoja akapewa nguvu kwa pamoja kuliko iuwa na rundo la wagombea lakini wasio na nguvu.
 
Jamaa alipotezewa timing na kufungiwa kwa Mwanahalisi,ukichelewa panapouzwa magazeti huyakuti.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji28][emoji28][emoji3][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1][emoji28][emoji28][emoji28][emoji3][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji3][emoji1][emoji38][emoji3][emoji16][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji3][emoji1][emoji1][emoji23][emoji1][emoji23][emoji1][emoji28][emoji16][emoji23][emoji28][emoji1][emoji1][emoji1][emoji4][emoji2][emoji16][emoji3][emoji1]
 
Kesho saa 4 tukutane TFF .nitazungumza na waandishi wa habari baada ya kuchukua fomu. Nyote mnakaribishwa.
 
Hili la wanayanga kujazana kuchukua fomu ni bora angekua mgombea mmoja akapewa nguvu kwa pamoja kuliko iuwa na rundo la wagombea lakini wasio na nguvu.
Baadae wote watamuunga mkono mgombea mmojw natabiri vurugu za uchaguzi
 
Back
Top Bottom