TANZIA Mbunge wa zamani wa Vunjo afariki dunia

Informer

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,606
Reaction score
6,672
Aliyekuwa mbunge wa vunjo mwaka 2000 - 2005 Meja Jesse Jeremiah Makundi (TLP) amefariki dunia leo alfajiri Kilema Hospital alipokuwa akipata matibabu.

Pia alipata kuwa Diwani wa Mwika Kaskazini
 
no comment
 
Apumzike kwa amani mja wake Mola huyu.

Haitakuwa Corona.

Kwanza Gwajiboy keshasema haipo na kwamba hachanjwi mtu!
 
Aliyekuwa mbunge wa vunjo mwaka 2000 - 2005 Meja Jesse Jeremiah Makundi (TLP) amefariki dunia leo alfajiri Kilema Hospital alipokuwa akipata matibabu.

Pia alipata kuwa Diwani wa Mwika Kaskazini
Pole kwa familia aliyo iwacha hapa dunia ni
 
Aliyekuwa mbunge wa vunjo mwaka 2000 - 2005 Meja Jesse Jeremiah Makundi (TLP) amefariki dunia leo alfajiri Kilema Hospital alipokuwa akipata matibabu.

Pia alipata kuwa Diwani wa Mwika Kaskazini
R.I.P Mh
Alikuwa hajachanja?
 
Alale salama Mzee Makundi
Pole sana kwa familia
 
Kabla sijafungua kusoma ndani, nilijua atakuwa Lyatonga. Mungu nisamehe.

Poleni wanafamilia, Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
Back
Top Bottom