johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
that is political statement, na sio issue kabisa politically speakingNi Kauli nzito sana
Mbowe ni Mwenyekiti wa Chadema Chama kikuu Cha Upinzani sasa mbunge wa ACT wazalendo Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar kumuundia tuhuma kama hizi ni lazima vyombo vya Ulinzi na Usalama vifuatilie
Muungano ni Tunu ya Taifa
Mlale unono!
Yeye kutaka Watanganyika waende Zanzibar kwa passport havunji muungano? 🐼that is political statement, na sio issue kabisa politically speaking
havunji chochote,Yeye kutaka Watanganyika waende Zanzibar kwa passport havunji muungano? 🐼
Halijui Hilo Mbwiga mmoja hiyo.Hivi kati ya Mbowe na G55 nani alianza?