ryan riz
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 423
- 683
Mbunge wa Dodoma jiji Mheshimiwa Anthony Peter Mavunde ni garasa hata sijui bungeni huwa anaenda kufanya nini,bubu si bubu,sijui mkimya sijui ni mpole yaani haeleweki.
Bila hii miradi ya kuboresha Makao Makuu sijui hata ingekuwaje? Barababa nyingi bado hazipitiki, sehemu inayohitiji hata makaravati kuunganisha mitaa napo shida je pangihitaji madaraja angeweza? Maji ni shida tupu, sehemu nyingi huduma hajifikiwa na huduma ya maji na ni ndani ya kilomita ambazo hazizidi kilomita 18 toka katikati ya jiji!
Pale palipokuwa na huduma ya maji imefika lakini hayatoki. Tuna shida nyingi tu ila MBUNGE WETU BUBU BUNGENI.
JE, NYIE WABUNGE WENU VIPI HUKO?