Acha kumsingizia.Hujawahi kumsikia au kumuona hata akiwauliza wabunge wenzake ...'habari gani "...!?Mbunge wetu kutoka Jimbo la Kyerwa, Innocent Bilakwate,amekuwa bungeni Kwa mihula miwili, Vipindi vyote hajawahi kuchangia hoja au mawazo yoyote bungeni,
Mbunge wetu hajawahi kutuliza swali la msingi wala la nyongeza bungeni,
Tukimuuliza vipi mbona bungeni hatukusikii na bunge liko live anasema yeye huwa anaongea na mawiziri na Samia mwenyewe
Kwamba yeye ana connection kubwa, wale wanaongea bungeni hawana connection ya viongozi wakubwa serikalini
Tunaomba CCM msituletee huyu mtu Jimbo la Kyerwa, tunajua hakuna uchaguzi watapita wateule wa CCM tu ila huyu mtu hatumtaki,
Jimbo letu Lina changamoto nyinyi na bahati mbaya tumepata mbunge kilaza kama Innocent Bilakwate
Lakini ilani Imetekelezwa.Mbunge wetu kutoka Jimbo la Kyerwa, Innocent Bilakwate,amekuwa bungeni Kwa mihula miwili, Vipindi vyote hajawahi kuchangia hoja au mawazo yoyote bungeni,
Mbunge wetu hajawahi kutuliza swali la msingi wala la nyongeza bungeni,
Tukimuuliza vipi mbona bungeni hatukusikii na bunge liko live anasema yeye huwa anaongea na mawiziri na Samia mwenyewe
Kwamba yeye ana connection kubwa, wale wanaongea bungeni hawana connection ya viongozi wakubwa serikalini
Tunaomba CCM msituletee huyu mtu Jimbo la Kyerwa, tunajua hakuna uchaguzi watapita wateule wa CCM tu ila huyu mtu hatumtaki,
Jimbo letu Lina changamoto nyinyi na bahati mbaya tumepata mbunge kilaza kama Innocent Bilakwate
Wewe subiri t-shirtMbunge wetu kutoka Jimbo la Kyerwa, Innocent Bilakwate,amekuwa bungeni Kwa mihula miwili, Vipindi vyote hajawahi kuchangia hoja au mawazo yoyote bungeni,
Mbunge wetu hajawahi kutuliza swali la msingi wala la nyongeza bungeni,
Tukimuuliza vipi mbona bungeni hatukusikii na bunge liko live anasema yeye huwa anaongea na mawiziri na Samia mwenyewe
Kwamba yeye ana connection kubwa, wale wanaongea bungeni hawana connection ya viongozi wakubwa serikalini
Tunaomba CCM msituletee huyu mtu Jimbo la Kyerwa, tunajua hakuna uchaguzi watapita wateule wa CCM tu ila huyu mtu hatumtaki,
Jimbo letu Lina changamoto nyinyi na bahati mbaya tumepata mbunge kilaza kama Innocent Bilakwate
Jimbo halina maendeleoShukuru hakuongea, yawezekana angeongea pumba ukamdharau zaidi. WABUNGE wengi ni vilaza tu... Imagine yule aliyewaita watz kenge!
Kaongea mara moja na kaharibu kabisa.
Anyway, huwa kuna kuchangia mawazo kwa maandishi, angali a kama anatekeleza maendeleo jimboni.