Mbunge Wanu Ameir Awasilisha Taarifa ya OACP/EU Kwenye Kamati ya Bunge la Tanzania

Mbunge Wanu Ameir Awasilisha Taarifa ya OACP/EU Kwenye Kamati ya Bunge la Tanzania

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301

MHE. WANU H. AMEIR AMEWASILISHA TAARIFA YA OACP/EU KWENYE KAMATI YA BUNGE

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Vita Kawawa wamepokea na kujadili Taarifa ya Wawakilishi wa Tanzania katika Umoja wa Mabunge ya Afrika, Carribeani Pasifiki na Jumuiya ya Ulaya (OACP/EU).

Aidha, Taarifa hiyo imewasilishwa na Mjumbe wa Umoja wa Mabunge ya Afrika, Carribeani Pasifiki na Jumuiya ya Ulaya (OACP/EU) kutoka Bunge la Tanzania, Mhe. Wanu Hafidh Ameir katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika tarehe 21 Januari, 2025 Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
 

Attachments

  • Gh0TojEasAAVZqy.jpg
    Gh0TojEasAAVZqy.jpg
    295.3 KB · Views: 4
  • Gh0TomCbgAA08qC.jpg
    Gh0TomCbgAA08qC.jpg
    378 KB · Views: 3
  • Gh0Toa2a8AA7zgf.jpg
    Gh0Toa2a8AA7zgf.jpg
    254.8 KB · Views: 3
  • Gh0TokZb0AAAdag.jpg
    Gh0TokZb0AAAdag.jpg
    400.4 KB · Views: 3
Laiti angekuwa ni mtoto wa magufuli wakati wa utawala wa magufuli matusi yangekuwa yanatisha hadi sasa
 
Back
Top Bottom