Mbunge Wanu Hafidh Ameir apokea Certificate of Recognition ya kuhamasisha Utunzaji Bora wa Mazingira

Mbunge Wanu Hafidh Ameir apokea Certificate of Recognition ya kuhamasisha Utunzaji Bora wa Mazingira

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
Wanu Hafidh Ameir, Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) na Mbunge wa Viti Maalum (Zanzibar) Amepokea Cheti Maalum cha kutambua mchango wake wa kuhamasisha Utunzaji wa Mazingira katika Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani 2024.

Wanu Hafidh Ameir amepokea Cheti hicho kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) alichokabidhiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango ikiwa ni kutambua mchango wa Mwanamke Initiative Foundation na Guangzhou Iceberg Environmental Consulting Services Co. Ltd

"Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani 2024 - Mwanamke Initiatives Foundation ikishirikiana na Guangzhou Iceberg Environmental Consulting Services Co. Ltd tumetunukiwa Cheti kutoka Ofisi ya Makamo wa Rais (Muungano na Mazingira) kilichopokelewa na Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mweneyekiti wa taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation, kwa kazi nzuri tunayofanya ya kutunza mazingira kwa kushajihisha na kuwezesha matumizi ya Upishi Salama (Clean Cooking) kwa jamii" - MIF

#MwanamkeInitiativesFoundation
#CleanCooking

WhatsApp Image 2024-06-06 at 15.06.12.jpeg
WhatsApp Image 2024-06-06 at 15.06.12(1).jpeg
WhatsApp Image 2024-06-06 at 15.06.11.jpeg
 
Is this lady Samia daughter?
Well,whatever.
 
Honorable-if you get my drift

Karibia atapata P.H.D
 
Is this lady Samia daughter?
Well,whatever.
Wanu ni mtoto wa Samia.

Hata hivyo certificate hiyo imetolewa Kwa taasisi anayoiongoza na si Kwa Wanu yeye binafsi

Mengine NI nongwa tu za waswahili
 
Nikajua imetoka taasisi a kimataifa kumbe imeokotezwa huko kwenye madampo ya maji taka
 
Back
Top Bottom