Mbunge: Watu wanaotoa Maoni yao wasipigwe wala kuumizwa na kuitwa Magaidi

Mbunge: Watu wanaotoa Maoni yao wasipigwe wala kuumizwa na kuitwa Magaidi

CCM kwa miaka mitano ilikuwa inajificha hapa. Unaitwa mhaini mara Gaid.

Kesi ya mbowe imewaumbua sana
 
Mbunge wa Viti Maalum, Sophia Mwakagenda ametaka watuhumiwa wasiitwe magaidi kabla ya uchunguzi kufanyika.

View attachment 2361519
Mama kaongea madini sana,
Ila mama hivi??hujui kama watu wanaitwa magaidi kwa ajjli ya kanzu tu,?
Mtu unaitwa gaidi ajili ya ndevu tu? Mtu unaitwa gaidi ajili ya dini tu?
Umejitahidi ila sidhani kama watakusika
Well done mama sofi
 
Jambo zuri sana mbunge ame zungumza, ni vizuri kuwapa watu uhuru wa kuzungumza[ kukosoa na kuunga ] ita saidia serikali kujiongoza vizuri.
 
Back
Top Bottom