johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bwashee wahi malimao isije kuwa ni delta hiyo!Koho koho
Ndo nipo nayabugia hapa.. walisema tuchemshe na maganda yake eeeeh?!... Koho kohoooooBwashee wahi malimao isije kuwa ni delta hiyo!
Kilaza huyu. Ila sio kwa kupitia tozo za simu.Muasisi wa Tozo za kizalendo mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu amesema kodi hii itawagusa watanzania milioni 30 tu ambao wana uwezo na wale wanaobakia zaidi ya milioni 20 hawataguswa
Tanzania ina watu zaidi ya milioni 50
Zungu amesema wazo la consolidation tax amelitoa Ujerumani ambako wenye uwezo hulipa kodi kusaidia maendeleo ya watu wa maeneo maskini.
Chanzo: Clouds tv
Mahojiano yameisha mkuu!Huyo mwandishi angemuuliza mtu mwenye uwezo ni yupi? Mwenye simu? Anayatumia fedha [kiasi chochote?], Maana hii tozo hata kama unamtumia mtu hela ya matibabu ambaye hana uwezo kiuchumi, yeye anakatwa na wewe unakatwa! CCM sijui wanatumia akili gani!
Manka ulitaka apitie wapi?Kilaza huyu.Ila sio kwa kupitia tozo za simu.
Sitegemei hata kama hilo swali lingeulizwa, waandishi wengi siku hizi hawana maswali ya kufikirisha anayehojiwa, wanamsafisha mtu tu nowadays!!Mahojiano yameisha mkuu!
Huyu Zungu ni mtu wa aina gani aisee mbona jina lake halina uhalisia na mambo anayoyafanya kwa watanzaniaMuasisi wa Tozo za kizalendo mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu amesema kodi hii itawagusa watanzania milioni 30 tu ambao wana uwezo na wale wanaobakia zaidi ya milioni 20 hawataguswa
Tanzania ina watu zaidi ya milioni 50
Zungu amesema wazo la consolidation tax amelitoa Ujerumani ambako wenye uwezo hulipa kodi kusaidia maendeleo ya watu wa maeneo maskini.
Chanzo: Clouds tv
Kuwa na mbunge kama huyu ni hasara kwa taifa. Watu milioni 30 ndo watu wazima wote ukiondoa vikongwe, watoto na wanafunzi wanaotegemea wazazi wao. Au hata hesabu ya Sensa haitumii kama mbunge?Muasisi wa Tozo za kizalendo mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu amesema kodi hii itawagusa watanzania milioni 30 tu ambao wana uwezo na wale wanaobakia zaidi ya milioni 20 hawataguswa
Tanzania ina watu zaidi ya milioni 50
Zungu amesema wazo la consolidation tax amelitoa Ujerumani ambako wenye uwezo hulipa kodi kusaidia maendeleo ya watu wa maeneo maskini.
Chanzo: Clouds tv
Hahahaaaa.......kwani watoto na vikongwe hawatumii simu bwashee?!Kuwa na mbunge kama huyu ni hasara kwa taifa. Watu milioni 30 ndo watu wazima wote ukiondoa vikongwe, watoto na wanafunzi wanaotegemea wazazi wao. Au hata hesabu ya Sensa haitumii kama mbunge?
Sasa watoto wana kipato kwa uchumi upi? Zungu ni mweupe tangu rangi ya ngozi hadi ndani ya kichwa.Hahahaaaa.......kwani watoto na vikongwe hawatumii simu bwashee?!