Mbunge Zungu: Tumeanzisha kodi ya miamala ya simu kwa watu milioni 30 wenye uwezo, waliobaki zaidi ya milioni 20 hawatalipa

Huyo mwandishi angemuuliza mtu mwenye uwezo ni yupi? Mwenye simu? Anayatumia fedha [kiasi chochote?], Maana hii tozo hata kama unamtumia mtu hela ya matibabu ambaye hana uwezo kiuchumi, yeye anakatwa na wewe unakatwa! CCM sijui wanatumia akili gani!
Ukimiliki simu na kuweza kununua salio, wewe ni tajiri.
Masikini hana uwezo wa kununua simu wala salio.
 
Huyu alishaambiwa na R.I.P Masaburi kuwa anafikiri kwa kutumia matterco.
 
Uongo huo.Mmehongwa na mabenk kuuwa ushindani wa simu.
 
Huyu alishaambiwa na R.I.P Masaburi kuwa anafikiri kwa kutumia matterco.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Milioni ishirini ambao hawamiliki simu, wewe ukiwa na simu na ukafanya miamala ya simu kodi hii inakuhusu.
 
Hivi hawa watu wanatuonaje
Kwa hiyo hiyo milioni 20 tuseme umri kuanzia 18 kwenda chini
 
Kwaniaba ya Watanzania wote napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza wapiga kura wa Ilala pamoja na Mbunge wao kwa kushawishi bunge na hatimaye suala hili kupita. Zungu we endelea kula cake ya taifa kwa kulipwa mshahara usiokatwa Kodi, Bima ya afya ya daraja la kwanza kwako na mengine huku sisi tunachirikima daily yaan. Hongera kwako
 
Milioni ishirini ambao hawamiliki simu, wewe ukiwa na simu na ukafanya miamala ya simu kodi hii inakuhusu.
Kwahiyo hii ni kodi ya miamala au imelengwa kwa wanaotumia simu? Pia usikute hata hao milioni 20 walengwa ndio sisi ambao tuna line 2 hadi 4.
 
Kuwa na mbunge kama huyu ni hasara kwa taifa. Watu milioni 30 ndo watu wazima wote ukiondoa vikongwe, watoto na wanafunzi wanaotegemea wazazi wao. Au hata hesabu ya Sensa haitumii kama mbunge?
Exactly...waliobakia ni watoto na vikongwe, huyu nafikiri ubongo wake bado haujatengemaa.
Wenye uwezo wamewakategoraizi vipi??

Hii ni vita ya URAIS 2025,

Everyday is Saturday............................... 😎
 
naombeni huyu jamaa ilala asijepata tena ubunge, nafikiri na yeye ameshajiandaa tayari kuondoka.
 
Huyo mwandishi angemuuliza mtu mwenye uwezo ni yupi? Mwenye simu? Anayatumia fedha [kiasi chochote?], Maana hii tozo hata kama unamtumia mtu hela ya matibabu ambaye hana uwezo kiuchumi, yeye anakatwa na wewe unakatwa! CCM sijui wanatumia akili gani!
Mwandishi wa habari ndo wakina Steve nyere.re minds anaweza kuwaza kikubwa
 
Wenye uwezo wamemaliza kujadili bajeti juzi tu hapo Dodoma, kama vip zile posho na marupurupu yao yawe yanakatwa only 5% then kwenye kiinua mgongo pale mwisho nako tule hata 2%. Maendeleo hayana Chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…