Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
CHAMBUA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kashitaki brela
Chambua acha belelebenyeHizi ni nyege za kuku mtetea
Achaa taarabu, chambua ubunifu wa mbunifu mzee wa kucopyKwani wao hawajaiga hapa? Au ndio mna hamu ya kuongea.
View attachment 3055137
Halafu hiyo jezi imebeba historia mabegani ambayo hata nyinyi ina wahusu. Tunajaribu kuwakumbusha msije kusahau.
Chambua weweChambua acha belelebenye
HahaaaaaaHapa vipi
Mbona hazifanani... Au kuna maana nyingine ya kunakili tofauti na tunayoijua..??
Sasa nani kamkopy mwenzake?Achaa taarabu, chambua ubunifu wa mbunifu mzee wa kucopy