danikiruma Senior Member Joined Feb 25, 2019 Posts 101 Reaction score 76 Apr 19, 2020 #1 Husika kichwa cha habari hapo juu nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa kwa Kodi ya shilingi 250,000 kwa mwezi. Public toilet, siting room kubwa, master bedroom 2 kitchen kubwa. Pamoja na colidol kubwa kwa mampunziko. Kodi kwa mwezi 250,000. Unaweza kulipa kwa maelewano na mwenye nyumba. Kwa mawasiliano: 0717501128. Sent using Jamii Forums mobile app
Husika kichwa cha habari hapo juu nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa kwa Kodi ya shilingi 250,000 kwa mwezi. Public toilet, siting room kubwa, master bedroom 2 kitchen kubwa. Pamoja na colidol kubwa kwa mampunziko. Kodi kwa mwezi 250,000. Unaweza kulipa kwa maelewano na mwenye nyumba. Kwa mawasiliano: 0717501128. Sent using Jamii Forums mobile app
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 22,719 Reaction score 40,739 Apr 19, 2020 #2 Tatizo hilo eneo ndio Mtihani. Sent using Jamii Forums mobile app
MKATA KIU JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 3,410 Reaction score 8,184 Apr 19, 2020 #3 Frank Wanjiru said: Tatizo hilo eneo ndio Mtihani. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Wahuni kama wote. Kigogo na mburahati hatari sana
Frank Wanjiru said: Tatizo hilo eneo ndio Mtihani. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Wahuni kama wote. Kigogo na mburahati hatari sana
TheDreamer Thebeliever JF-Expert Member Joined Feb 26, 2018 Posts 2,490 Reaction score 3,584 Apr 26, 2020 #4 Noma sana!
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 21,470 Reaction score 40,593 May 24, 2020 #5 MKATA KIU said: Wahuni kama wote. Kigogo na mburahati hatari sana Click to expand... Mabibo pakoje??