Mbuta Nanga amfunda Rihanna

Huyu dada ni mgonjwa kuna kitu kwenye saikolojia kinaitwa vurugu za kimaono !huyu ana hilo tatizo ,ana udhaifu/upungufu fulani kimaumbile hivyo hufanya kila awezalo kujionyesha kuwa yupo sawa na ni super woman...!ugonjwa huu hauambukizi lakini pia hautibiki ! Shilole na mastaa wengi wana hili tatizo
 
Watu wengine hata ndugu zao wamewachoka.
Ila ipo siku watajuta
 
He he he he! Huyu naye angekuwa tu kwenye ile ndege ya malaysian, hakungekuwa na hasara kwa kweli!
 
Hua natamani kujuaa anaemfumua huyu mbuta aisee maana havutii kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…